Darius Mwasio / Jacob Mwasio / Peter Juma
Librería Samer Atenea
Kálamo Books
Librería Elías (Asturias)
Librería Kolima (Madrid)
Librería Proteo (Málaga)
Paka na panya walikuwa marafiki. Walifanya kazi yao na kuishi pamoja. Paka alikuwa mkulima hodari. Alinunua shamba kwa mkulima. Alipanda mahindi mengi. Mahindi yalifanya vizuri. Je, ni nani aliharibu mahindi ya paka? Soma ujue urafiki wa paka na panya.