LIBROS DEL AUTOR: darius mwasio

1 resultados para LIBROS DEL AUTOR: darius mwasio

  • Paka na Panya
    Darius Mwasio / Jacob Mwasio / Peter Juma
    Paka na panya walikuwa marafiki. Walifanya kazi yao na kuishi pamoja. Paka alikuwa mkulima hodari. Alinunua shamba kwa mkulima. Alipanda mahindi mengi. Mahindi yalifanya vizuri. Je, ni nani aliharibu mahindi ya paka? Soma ujue urafiki wa paka na panya. ...
    Disponible

    16,82 €