Librería Samer Atenea
Kálamo Books
Librería Elías (Asturias)
Librería Kolima (Madrid)
Librería Proteo (Málaga)
Simba ana njaa kali. Anataka kumfanya Swala kitoweo chake. Wote wanaomba kwan unyenyekevu na uvumilive, 'Mungu nisaidie.' Ni nani atapata kusaidiwa? Chunguza kujua nini kinatokea kwa Simba, Mungu alimsaidia?