LIBROS DEL AUTOR: njiru kimunyi

6 resultados para LIBROS DEL AUTOR: njiru kimunyi

  • Kiongozi Hodari
    Njiru Kimunyi
    Mwevure ni mvivu kupindukia, jambo linalomfanya aishi maisha hohehahe. Hata hivyo anaishia kuwa mfalme wa nchi yake. Hili latokea vipi?  Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma ...
    Disponible

    17,21 €

  • Nyumba ya Sungura
    Njiru Kimunyi
    Sungura amejenga nyumba maridadi ili aweze kufanya harusi yake humo. Lakini kuna adui aliyekatalia ndani. Anatafuta usaidizi kwa wanyama wenzake lakini wanashindwa kumfukuza. Atafanya nini? ...
    Disponible

    17,50 €

  • Mlima Kenya Kajifungua
    Njiru Kimunyi
    Habari ziliponea kuwa Bi. Mlima Kenya anakaribia kujifungua, mbiu ilipigwa, na wanakijiji pamoja na wanyamapori wote wakakusanyika kushuhudia tokeo hilo mahsusi. Muda si muda wakati ukawadia; akajifungua. 'Je, ni mwana gani huyo aliyezaliwa? Jisomeeni wenyewe hii hadithi ili mpate kutambua. Na zaidi ya hiyo, kunazo vilevile, hadithi nyingine sita: Karamu Ya Kujialika; Fisi tumb...
    Disponible

    19,79 €

  • Karamu Mbinguni
    Njiru Kimunyi
    Kutokana na sifa zao njema kwake Mwenyezi Mungu, ndege wamepata mwaliko wa kutalii mbinguni. Wamepewa uwezo wa kuyabadilisha maumbile yao vile wanavyotaka. Katika kufanya hivi, wengine kama Bundi wanaongozwa na nia mbaya. Mzee Kobe naye anadanganya kuwa ukoo wake ulitokana na ndege. Kwa wale wenye nia safi, karamu ya mbinguni inaishia kuwa furaha isiyo kimo. Wenye nia mbaya nao...
    Disponible

    17,52 €

  • Siri ya Sala
    Njiru Kimunyi
    Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu? Chunguza kujua nini kinatokea ...
    Disponible

    15,64 €

  • Mungu Nisaidie
    Njiru Kimunyi
    Simba ana njaa kali. Anataka kumfanya Swala kitoweo chake. Wote wanaomba kwan unyenyekevu na uvumilive, 'Mungu nisaidie.' Ni nani atapata kusaidiwa? Chunguza kujua nini kinatokea kwa Simba, Mungu alimsaidia? ...
    Disponible

    15,55 €