Librería Samer Atenea
Librería Aciertas (Toledo)
Kálamo Books
Librería Perelló (Valencia)
Librería Elías (Asturias)
Donde los libros
Librería Kolima (Madrid)
Librería Proteo (Málaga)
Bunduki yake Hassan Ngunda, mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi, imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo, mwanawe Fadhili haonekani. Ni kipi kimetokea? Msako mkali unaanzishwa, na punde si punde unawaelekeza polisi kwenye ’mwizi’ wa bunduki pamoja na genge hatari la wawindaji haramu.