LIBROS DEL AUTOR: akberali manji

3 resultados para LIBROS DEL AUTOR: akberali manji

  • Mtoto Aliyetoweka
    Akberali Manji
    Wahalifu hodari Dani na Saki wanamteka nyara Komen kutokana na mpango wa Masha. Jambo hili linawatia wasiwasi wazazi wake Komen ambao wanajiingiza katika harakati za kumtafuta. ...
    Disponible

    19,85 €

  • Kaponea Chupuchupu
    Akberali Manji
    Bunduki yake Hassan Ngunda, mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi, imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo, mwanawe Fadhili haonekani. Ni kipi kimetokea? Msako mkali unaanzishwa, na punde si punde unawaelekeza polisi kwenye ’mwizi’ wa bunduki pamoja na genge hatari la wawindaji haramu. ...
    Disponible

    16,36 €

  • Mfuko Wangu U Wapi?
    Akberali Manji
    Juma anataka kufanya kazi aliyopewa na mwalimu. Lakini mfuko uliokuwa na vitabu haupatikani. Anatafuta kila pembe haupati. Umepotelea wapi? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma ...
    Disponible

    16,76 €