Librería Samer Atenea
Kálamo Books
Librería Elías (Asturias)
Librería Kolima (Madrid)
Librería Proteo (Málaga)
Mchezo unamulika madhila makubwa wanaoyapata wasichana kutoka nchi za Kiafrika wanaokwenda kutafuta ajira maeneo ya Uarabuni. Madhila hayo ni pamoja na kudharauliwa, kutishwa, kuteswa kwa namna nyingi ikiwa ni pamoja kudhulumiwa kingono, kupigwa, kulazimishwa kula mabaki ya chalula kilicholiwa na waajiri, na hata kuawa. Mara kwa mara, wasichana hao hawarudi nyumbani wakiwa hai; wanarudi wakiwa katika majeneza. Mchezo unamulika changamoto za kiuchumi na kijamii zinazowasukuma wasichana kujitumbukiza katika hayo mazingira magumu.The play sheds light on the severe ordeals faced by young women from African countries who travel to the Arab world in search of employment. These hardships include humiliation, intimidation, and various forms of abuse-such as sexual exploitation, beatings, being forced to eat their employers’ leftovers, and even death. Often, these young women do not return home alive; they come back in coffins. The play highlights the economic and social challenges that drive these young women to expose themselves to such harsh conditions.