Asubuhi Na Baadaye

Asubuhi Na Baadaye

Kithaka wa Mberia

22,15 €
IVA incluido
Disponible
Editorial:
African Books Collective
Año de edición:
2026
ISBN:
9789966794239
22,15 €
IVA incluido
Disponible

Selecciona una librería:

  • Librería Samer Atenea
  • Kálamo Books
  • Librería Elías (Asturias)
  • Librería Kolima (Madrid)
  • Librería Proteo (Málaga)

Diwani iliyo na shairi la kitawasifu kuhusu changamoto alizopata mwandishi katika ujana wake na namna zilivyotatuliwa baadaye lkwa kutumia ushauri wa dakatari. Diwani pia ina mashairi kuhusu siasa za uroho na ubazazi na namna watu wanavyoteseka baada ya matapeli kuwazuga wakati wa uchaguzi. Pia, kuna mashairi ya kumulika maeneo mbalimbali nchini Kenya kwa darubini za shughuli za kiuchumi.This poetry collection features an autobiographical poem recounting the challenges the author faced in his youth and how they were eventually resolved through a doctor’s advice. The collection also includes poems addressing the politics of greed and deceit, and the suffering people endure after being duped by con artists during elections. Additionally, there are poems that examine various regions of Kenya through the lens of their economic activities.

Artículos relacionados

  • Poetry Is Our Ministry to Touch the Heart
    Anelda Lukesia Ballard / Jean Anelda Scott
    Poetry is Our Ministry to Touch the Heart, was birthed when Anelda L. Ballard became ill. God spoke to her in a dream and said 'pick up a pen and write' by being obedient this book was written through the Holy Spirit. Anelda and her mother Jean A. Scott believes that God’s wants to heal a hurting heart. This book will inspire you and encourage you to never give up hope. Jesu...
    Disponible

    11,12 €

  • I soldati lunghi
    Pierluigi Romeo di Colloredo Mels
    Il 24 maggio 1915 il Regno d’Italia entrò nella Grande Guerra, che si sarebbe dimostrata il momento più alto e tragico della sua storia, a poco più di cinquant’anni dalla sua unificazione.In quella lotta tremenda durata quattro anni, la Brigata Granatieri di Sardegna , con i suoi due valorosi Reggimenti, i più antichi del Regio Esercito scrisse, nel grande quadro della guerra d...
    Disponible

    32,59 €

  • Five Beneath Philly
    Susan Bandy / Tom Richmond
    Allen Williams plans to make something of his life and escape South Philly and the work at Cross Brothers’ Meat Packing Plant. He prepares himself with excellent grades and an upcoming full-ride scholarship to climb out of South Philly forever. Then fate changes his whole world. An only son in a family of six, Allen suddenly finds himself responsible for his mother, grandmother...
    Disponible

    18,28 €

  • Forms
    Sharon Welch
    I am an award-winning artist and my works hang in private residences, community hospitals, businesses, and restaurants across the US and also abroad.  I live in Pierre, South Dakota. Since 2008 I have owned Sharon Welch Gallery and Studio where I paint and teach classes.  My theory is have fun, remove the fear of failure, experiment and let the child inside of you play.Very oft...
  • Ricordi di una ausiliaria
    Andrea Lombardi / Raffaella Duelli
    Le memorie di Raffaella Duelli, Volontaria nel Battaglione Barbarigo della Decima Flottiglia Mas iniziano con la partenza del Barbarigo da Roma, narrando la lunga marcia del reparto verso il nord, sotto il mitragliamento degli aerei Alleati. Quindi, è descritta vividamente l'ultima battaglia del Barbarigo sul Fronte Sud, dal Senio a Comacchio: gli appunti di Raffaella, giov...
    Disponible

    28,08 €

  • Why Didn’t You Ask?
    Panya Dixon
    From an early occurrence in her childhood to a perilous thirteen-year relationship, Panya Dixon too often suffered from various forms of physical, emotional, and sexual abuse. Conflicted between love and the pain her loved ones brought on her, she consistently had to fight for her life and her will to move on. Why Didn’t You Ask? is an expression of Panya’s truth—her trials, pa...
    Disponible

    20,35 €

Otros libros del autor

  • Walikio na cha Mtema Kuni
    Kithaka wa Mberia
    Ulimwengu una mambo yanayoeleweka kisayansi ambayo hayakubali kabisa kuelezaewa kisayansi. Katika baadhi ya jamii kuna njia za mume kumfunga mke hivi kwamba akienda kando ya ndoa, yeye na mwanamume anayehusika wananasika katika mtego ambamo hawawezi kutoka mpaka wafunguliwe na wenye ujuzi maalum wa kienyeji. Katika Walikiona cha mtema kuni gavana anayemmezea mate mke wa mtu mwi...
    Disponible

    22,28 €

  • Jeneza Kutoka Saurabia
    Kithaka wa Mberia
    Mchezo unamulika madhila makubwa wanaoyapata wasichana kutoka nchi za Kiafrika wanaokwenda kutafuta ajira maeneo ya Uarabuni. Madhila hayo ni pamoja na kudharauliwa, kutishwa, kuteswa kwa namna nyingi ikiwa ni pamoja kudhulumiwa kingono, kupigwa, kulazimishwa kula mabaki ya chalula kilicholiwa na waajiri, na hata kuawa. Mara kwa mara, wasichana hao hawarudi nyumbani wakiwa hai;...
    Disponible

    22,40 €

  • Rafiki Wa Jiji
    Kithaka wa Mberia
    Mchezo unawassilisha vita kuhusu msitu maarufu katika jiji. Msitu hu oni mapafu ya jiji hjilio na, kwa hivyo, ni rafiki wa jiji na wakazi wake. Msitu huo ambao unavutia watu wengi wenye hamu na mazoea ya kumandari katika mazingira safi, unaanza kunyakuliwa na kukatwakatwa ili kugawiwa vikaragosoi wa kisiasa ili wajenge makazi ndani yake. Profesa jasiri, mpenzi na rafiki wa mazi...
    Disponible

    22,34 €

  • Rangi Ughaibuni
    Kithaka wa Mberia
    Mashairi kuhusu tajriba ya mwandishi nje chi yake ya Kenya kutokana na ziara zake akihudhuria makongamano na tamasha za sanaa. Mbali na kuishi Afrika, amefundisha na kuishi katika mabara mengine matatu, yaani, Marekani Kaskazini (akifundisha Virginia state University kama Fulbright Scholar-in-Residence), Ulaya (akifundisha University of Warsaw kama Modern European University Vi...
    Disponible

    22,40 €

  • Mbuyu Ng’ambo Ya Thagana
    Kithaka wa Mberia
    Mbuyu Ng’ambo ya Thagana ni mkusanyiko wa michezo minne mifupi ya onyesho moja kila mchezo. Michezo hiyo ni 'Mbuyu Ng’ambo ya Thagana', 'Usiku wa Mwereka', 'Deni' na 'Mtini Asubuhi'.  Kichwa cha kitabu kimetokana na mchezo wa 'Mbuyu Ng’ambo ya Thagana' kuhusu mbuyu ambao, katika fasihi simulizi ya kabila mojawapo nchini Kenya, mwanamke akiuzunguka mara saba, anabadilika na kuwa...
    Disponible

    22,46 €

  • Karibu, Mfalme Mpendwa
    Kithaka wa Mberia
    Diwani ya kimajaribio ambamo mashairi yametungwa kwa kutumia tashtiti na ucheshi ili kuwachekelea na kuwahamasisha wapigaji kura ambao wanatapeliwa miaka nenda miaka rudi na wanasiasa wanaowatupia makombo na kuwanyunyizia ahadi hewa. Isitoshe watu hupiga kura kwa misingi ya kikabila, kikijiji, kiukoo na kwa kufuata ukarimu ghushi wa wagombeaji viti. Baadaye wapigaji kura huishi...
    Disponible

    22,04 €