Inicio > Humanidades > Religión y creencias > Cristianismo > Hadithi Yako ya Kweli Mwongozo Muhimu wa Siku 50 Kwa Ajili ya Maisha Yako Mapya Pamoja na Yesu (Your True Story, Swahili Edition)
Hadithi Yako ya Kweli Mwongozo Muhimu wa Siku 50 Kwa Ajili ya Maisha Yako Mapya Pamoja na Yesu (Your True Story, Swahili Edition)

Hadithi Yako ya Kweli Mwongozo Muhimu wa Siku 50 Kwa Ajili ya Maisha Yako Mapya Pamoja na Yesu (Your True Story, Swahili Edition)

Susan Freese

11,99 €
IVA incluido
Disponible
Editorial:
All In Ministries International
Año de edición:
2024
Materia
Cristianismo
ISBN:
9781958535073
11,99 €
IVA incluido
Disponible

Selecciona una librería:

  • Librería Samer Atenea
  • Kálamo Books
  • Librería Elías (Asturias)
  • Librería Kolima (Madrid)
  • Librería Proteo (Málaga)

JINUNULIE KIMOJA. MNUNULIE MTU KIMOJA KAMA ZAWADI.* Maisha yako yanaweza kubadilika ndani ya Siku 50. Zana hii KAMILI ya Kujifunza Biblia ina mambo muhimu juu ya uanafunzi kwa ajili ya Wakristo wapya ulimwenguni kote (hakuna mifano ya kimagharibi). Ni vigumu kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu na kutimiza kusudi lako bila ufahamu mzuri wa hadithi Yake na sehemu yako katika hadithi hiyo. Masomo haya 50 ya kila siku yanafunua MAMBO MUHIMU YA IMANI ili kufanya urafiki wako na Yesu uwe wa kina na kukupa UJUZI WA KIUTENDAJI ili iwe mfuasi Wake. Jifunze kile ambacho waumini wakomavu wamejua kwa miaka mingi ndani ya Siku 50 kupitia safari hii rahisi lakini inayobadilisha maisha. Wiki ya 1:   Hadithi ya Mungu-Kugundua hadithi kuu ya Biblia Wiki ya 2:    Hadithi Yako-Kukumbatia utambulisho wako mpya katika Kristo Wiki ya 3:    Kusudi Lako-Kutimiza kusudi la maisha yako Wiki ya 4:   Kukaa Ndani-Kubaki Ukiwa Umeunganishwa na Mungu Wiki ya 5:    Neno la Mungu-Kumsikiliza Mwanzilishi wa Uzima Wiki ya 6:   Neno la Mungu-Kunena na Mwanzilishi wa Uzima Wiki ya 7:   Roho Mtakatifu-Kutimiza Hadithi Yako Kwa Nguvu Za Mungu Kila wiki utajifunza zaidi juu ya simulizi ya Biblia. Utagundua siri za maisha ya Kikristo, kama vile jinsi ya kukaa ndani ya Kristo, kushughulikia shaka, kupinga majaribu, na kumwabudu Mungu katika misimu ya mateso. Pia utajifunza njia za kiutendaji za kujifunza Biblia yako, kushiriki imani yako, kufanya wanafunzi, na kuomba. Ikiwa hujaanzisha uhusiano na Yesu, utapata fursa ya kuchukua hatua hiyo. Kila siku inatamatishwa kwa mbinu ya Amri Kuu ya kutumia Maandiko, maswali, maombi, na mahali pa kuchukua hatua zako zinazofuata. KITABU HIKI NI KWA AJILI YAKO IKIWA: - Wewe ni muumini mpya katika Yesu unayetafuta hatua zinazofuata za kukuza imani yako, - Wewe ni Mkristo anayetafuta kufundishwa kuwa mwanafunzi au kuwafundisha wengine kuwa wanafunzi, - Unachunguza Ukristo na unataka kujua jinsi ya kuwa mfuasi wa Yesu. Taarifa zaidi zinapatikana kwenye yourtruestorybook.com*JINUNULIE KIMOJA. MNUNULIE MTU KIMOJA KAMA ZAWADI. Mapato kutoka kwa kila kitabu kinachouzwa yatatoa nakala iliyotafsiriwa kwa muumini ambaye hana nyenzo za kutosha katika nchi inayoendelea.

Artículos relacionados

  • By Which We Are Saved
    Kelly Condra / Preston Condra
    Responding to the call to share the Gospel of Christ is an intimidating prospect in our "politically correct" society.  In addition to concerns about causing offense, some Christians feel unprepared to answer questions and objections which may arise.  "By Which We Are Saved" is an evangelism handbook to equip the body of Christ to share their faith with greater confidence.  A d...
    Disponible

    16,07 €

  • Revealing Islam and Its Role In The End Times
    Robert B Keeton
    An informative look at the beliefs and practices of Muslims that will help to equip the reader with knowledge to reach those that are following the religion of Islam.Dr. Keeton has researched and put into practice his findings with positive results. He has taught missionaries and also held church seminars on the religion of Islam since May of 1996.Most books about Islam do not ...
    Disponible

    15,91 €

  • Receiving Personal Prophecy
    Bill Vincent
    There have been a lot of lessons he has learned from years of ministry and surrounding himself with prophetic people. Bill has been asked many questions o how to see that personal prophecy come to pass. Bill Vincent is releasing this book, Receiving Personal Prophecy, to answer those questions. This book is Volume Two of Bill's prophetic book series. You can get Volume One,...
    Disponible

    15,58 €

  • Using Heavenly Faith to Accomplish Earthly Goals
    John Earl Harris
    This book tells the story of an uneducated man’s journey from shame and regret to honor and respect. “Using Heavenly Faith to Accomplish Earthly Goals” highlights the importance of getting an education and obeying God’s words. The book reveals the author’s abilities to interpret heavenly visions to provide for daily necessities. The author tells his misfortunes in hope of that ...
    Disponible

    12,07 €

  • Christ Alone
    Jon Zens
    Just as physical families have to face difficulties, so every group of believers will face challenges in their life together. In Christ Alone, Jon Zens opens up five crucial areas that every group will wrestle with at some point in their journey. The first challenge—for Christ to be everything—is the first priority and the other four challenges flow out of it. How do we show th...
    Disponible

    5,77 €

  • Colours of Unfrozen
    Abbirose Adey / Ladey Adey
    This is the first adult colouring book which integrates inspirational devotionals for the reader. It is the second book of the Unfrozen series, Ladey and Abbirose Adey connect pictures, quotes, scripture and devotionals ready for reflections, relaxing and rejoicing by colourists of all ages. It aids the reader to de-stress and reflect on God’s word while colouring, and making e...
    Disponible

    20,64 €

Otros libros del autor

  • Olugero lwo Olutuufu (Your True Story, Luganda Edition)
    Susan Freese
    GULA KIMU. OGABE KIMU.* Obulamu bwo busobola okukyuka mu nnaku 50. Ekyokukozesa kino ekiyigiriza Bayibuli EKIRIMU BYONNA MU KIMU kirimu byonna ebikulu eby’obuyigirizwa ebyetaagibwa Abakristaayo abapya mu nsi yonna (temuli byakulabirako by’ebulaaya). Kizibu okubeera n’enkolagana ey’amaanyi ne Katonda n’okutuukiriza ekigendererwa kyo nga totegedde bulungi Lugero lwe n’omulimu gwo...
    Disponible

    16,15 €

  • آپکی سچی کہانی (Your True Story, Urdu Edition)
    Susan Freese
    ایک خریدیں۔ایک تحفہ دیں۔* آپ کی زِِندگی ۵۰ دِنوں میں بدل سکتی ہے۔ بائبل کے مطالعہ کا یہ جامع ترین مطالعات میں سے ایک ذریعہ دُنیا بھر کے نئے مسیحیوں کے لیے شاگردیت کے تاحیات ضروری اصولوں پر مشتمل ہے (ِاس میں کوئی مغربی مثالیں شامل نہیں ہیں)۔خُدا کے ساتھ گہرا تعلق قائم کرنا اور اپنے مقصد کو پورا کرنا مشکل ہے اگر آپ کو اُس کی کہانی اور اُس میں اپنے کردار کی واضح سمجھ نہ ہو۔یہ ۵۰ ...
    Disponible

    15,74 €

  • دليل التدريبوالتلمذة للسيدات للثقافات المختلفة (Women’s Disciple-Making Training Workshop Arabic Edition)
    Susan Freese
    كرازة السيدات تعني كرازة الأسر والأممهذا ليس مجرد دليل تدريبي- بل هو حركة! يُعِدُّ تدريب التلمذة للسيدات ودليل المدربات للثقافات المختلفة السيدات ويجهزهن للدور الذي كلفهن الله به في الإرسالية العظمى، محليًا وعالميًا، والذي يأتي بثلاث ثمار:تحوُّل الحياة تغيٌّر الأجيالكرازة المجتمعاتآراء القادة:'قالوا لي إنني لا أستطيع التدريس لأني امرأة كما إني كفيفة، لكن في المؤتمر تعلمت أنني ق...
    Disponible

    20,95 €

  • 女性 门徒培训 讲习班 (Women’s Disciple-Making Training Workshop Chinese Simplified Edition)
    Susan Freese
    装备女性,影响家庭与列国不仅仅是一套培训指南,更是一场运动。本套女性门徒培训讲习班课程旨在装备女性在本地乃至全球范围内承担神所赋予她们在大使命中的角色,从而产生三重影响:生命得以改变。世代得以更新。社区得以听闻福音。领袖们如是说:这套讲习班课程足以改变人生,而且在不同文化背景下都便于实施。我第一次接触到这项培训是在肯尼亚,当时有 200 多名来自不同教派的女性领袖参与其中--课程互动性极强,她们当即付诸行动。后来我将这套课程带到了乌干达,一直用它来培训城市和乡村的女性。即使没有任何培训经验,你也能做到!课程材料的设计极为简便易用,无论你是否为培训师,或是否有过类似培训经验,都可以直接按照指南操作,从而产生实际影响。照着讲稿进行培训,见证神奇妙的作为吧! --美国运动发起人 Linda '有人告诉我,我不能教导,因为我是盲人,而且是女性。在培训中,我认...
    Disponible

    21,67 €

  • महिलााएँँ शिष्य-निर्मााण प्रशिक्षण काार्ययशा ालाा (Women’s Disciple-Making Training Workshop Hindi Edition)
    Susan Freese
    यह केवल एक प्रशिक्षण मार्गदर्शिका नहीं है - यह एक अभियान है। यह महिलाओं की शिष्य निर्माण प्रशिक्षण कार्यशाला महिलाओं को महान आज्ञा में उनकी परमेश्वर-द्वारा-दी गई भूमिका को, स्थानीय और वैश्विक स्तर पर अपनाने में सहायता करती है, जिसका परिणाम एक तिहरा प्रभाव है:जीवन बदलते हैं। पीढ़ियाँ बदल जाती हैं।समुदायों प्रभावित होते हैं। अगुवे क्या कह रहे हैं: 'इस सम्मेलन ने मेरे लिए एक नए सं...
    Disponible

    20,95 €

  • የሴቶች ደቀ መዛሙርት ማድረግ የስልጠና አውደ ጥናት (Women’s Disciple-Making Training Workshop Amharic Edition)
    Susan Freese
    ሴቶችን መድረስ ቤተሰቦችን እና ሀገራትን መድረስ ይህ የሥልጠና መመሪያ ብቻ አይደለም-እንቅስቃሴ ነው። ይህ የሴቶች ደቀ መዛሙርት የማድረግ የስልጠና አውደ ጥናት ሴቶች በአካባቢያቸውም ሆነ በዓለም አቀፍ ደረጃ እግዚአብሔር የሰጣቸውን ሚና በታላቁ ተልዕኮ ውስጥ ሆነው እንዲወጡ ያስታጥቃቸዋል፤ ይህም ሶስት እጥፍ ተጽዕኖ ያስገኛል፦ህይወቶች ተለውጠዋል።ትውልዶች ተለውጠዋል።ማህበረሰቦች ተዳርሰዋል።መሪዎች ምን እያሉ ነው፦'ይህ ኮንፈረንስ ለእኔ አዲስ ዓለምን ከፍቷል። ለሌሎች ወንጌልን መስበክ እና ደቀ መዛሙርት ማድረግ የሚችሉት ፓስተሮች ብቻ እንደሆኑ አስብ ነበር። አሁን እኔ ይህን ማድረግ እንደምችል አ...
    Disponible

    20,95 €