Bweni la Wasichana

Bweni la Wasichana

Lucas Lubango

32,42 €
IVA incluido
Disponible
Editorial:
African Books Collective
Año de edición:
2023
Materia
Ficción moderna y contemporánea
ISBN:
9789987753840
32,42 €
IVA incluido
Disponible

Selecciona una librería:

  • Librería Samer Atenea
  • Librería Aciertas (Toledo)
  • Kálamo Books
  • Librería Perelló (Valencia)
  • Librería Elías (Asturias)
  • Donde los libros
  • Librería Kolima (Madrid)
  • Librería Proteo (Málaga)

Usiku huo nilikuwa nasimamia maandalizi ya masomo ya usiku. Nikapigiwa simu na Rose, nikaipokea. Wakati naongea naye, nikawa natembea taratibu kama naelekea kwenye mabweni. Ghafla, nikaona taa za bweni wanalolala 'Buibui' zinawaka na kuzima, nikajua ni hitilafu katika mfumo wa umeme. Nikataka kusogea ili nithibitishe kisha nitoe taarifa mapema kwa uongozi na matengenezo yafanyike. Nilisogea mpaka mlangoni, taa zikawaka moja kwa moja, na kwa kuwa kulikuwa na dalili za kuwemo mwanafunzi, nilitaka kujua kwanini hayupo darasani wakati wenzake wote walikuwa wana-jisomea. Nilingia nikakuta hali ya ukimya sana, nikatembea mpaka karibu na mwisho wa bweni, nilichokiona ni aibu kubwa! Huwezi amini, 'Buibui' waliponiona wakadondosha khanga! Wakabaki kama walivyozaliwa..LUCAS GERVAS LUBANGO ni mwalimu wa masomo ya biashara alivesoma Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Kibaha (ECA). Elimu ya juu aliipata katika chuo kikuu cha Dares salaam, akisomea Shahada ya Ualimu katika Masomo ya Biashara. Bweni la Wasichana ni riwaya yake ya kwanza na imeshika nafasi ya pili kwenye Tuzo ya Safal Cornel.

Artículos relacionados

  • The Only Witness
    Pamela Beason / TBD
    A MISSING BABYSeventeen-year-old Brittany Morgan dashed into the store for just a minute, leaving her sleeping baby in the car. Now Ivy's gone and half the town believes Brittany murdered her daughter.A HAUNTED DETECTIVEDetective Matthew Finn, a big-city fish out of water in small-town Evansburg, Washington, struggles with his wife's betrayal as he investigates Ivy Morg...
    Disponible

    20,64 €

  • The Gender of Inanimate Objects and Other Stories
    Laura Marello
    In the phosphorescent title novella of Laura Marello's collection, an enigmatic drifter pursues her circuitous path through the intricate cultural terrain of Sweetwater County, California, a patchwork of communities where "everyone speaks the wrong language." Through subtle, disciplined prose inflected with the deep colors and clear lines of ancient Mykonos and the northern...
    Disponible

    15,29 €

  • What's the Word?
    Lawrence Gordon
    This is a work of non-fiction. The events penned herein reflect real life situations; great times and terrible times; which my family, my friends, and I endured.      This work will reflect the spiritual aspects of my family. I was born and raised in our family church. The name of the church was God’s Universal House of Prayer and my Uncle, James Henderson was the Pastor until...
    Disponible

    7,19 €

  • Meritocrats
    Stuart Evans
    Stuart Evans’s first novel is a comedy-of-ill-manners set in a nouveau riche milieu: a fantastic satirical performance and hyper-referential homage to masters past and present. Paul Keller is the Stephen Dedalus of the piece, the son of Robert and Sylvie, whose internal monologue is spliced into the action, and whose incestuous feelings for his sister lead to an increase in his...
    Disponible

    19,71 €

  • Jack the Lad
    Frank English
    A tale based loosely in reality, this story traces the fortunes of the Ingles family in the West Riding coal fields around Wakefield. Theirs is a saga that could be replicated time after time in an area where scratching a living wasn't easy, and where coal, drink, and occasional infidelity played integral parts in the life of the community. Their story starts in the mid-194...
    Disponible

    13,53 €

  • The Empty Chair
    Penny Goetjen
    o A steamy Caribbean islando A missing female photographero A daughter’s relentless search and her entanglement in the island’s twisted subculture Don’t expect an umbrella in your drink when you escape to the Virgin Islands in this heart-pounding suspense novel as young Olivia Benning desperately searches for her photographer mother who has gone missing during a covert assignme...
    Disponible

    12,62 €