LIBROS DEL AUTOR: lucas lubango

1 resultados para LIBROS DEL AUTOR: lucas lubango

  • Bweni la Wasichana
    Lucas Lubango
    Usiku huo nilikuwa nasimamia maandalizi ya masomo ya usiku. Nikapigiwa simu na Rose, nikaipokea. Wakati naongea naye, nikawa natembea taratibu kama naelekea kwenye mabweni. Ghafla, nikaona taa za bweni wanalolala 'Buibui' zinawaka na kuzima, nikajua ni hitilafu katika mfumo wa umeme. Nikataka kusogea ili nithibitishe kisha nitoe taarifa mapema kwa uongozi na matengenezo yafanyi...
    Disponible

    32,42 €