Ni siku gani ya Sabato,  Jumamosi au Jumapili?

Ni siku gani ya Sabato, Jumamosi au Jumapili?

Maxwell Shimba

12,97 €
IVA incluido
Disponible
Editorial:
Indy Pub
Año de edición:
2024
ISBN:
9798348223748
12,97 €
IVA incluido
Disponible

Selecciona una librería:

  • Librería Samer Atenea
  • Librería Aciertas (Toledo)
  • Kálamo Books
  • Librería Perelló (Valencia)
  • Librería Elías (Asturias)
  • Donde los libros
  • Librería Kolima (Madrid)
  • Librería Proteo (Málaga)

Ni Siku Gani ya Sabato, Jumamosi au Jumapili?Watu wengi hujiuliza juu ya ’sabato’ - Je, tukusanyike siku gani kati ya jumamosi au jumapili? Sawasawa na Agano Jipya, jumapili inaitwa ’siku ya kwanza ya juma’ na inafuata ’Sabato’, yaani, ’jumamosi’. 'Hata sabato ilipokwisha, kupambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi.' (Mathayo 28:1). 'Naye alipofufuka alfajiri siku ya kwanza ya juma...'. (Marko 16:9).Hii ’siku ya kwanza ya juma’ ndiyo siku ambayo Bwana Yesu alifufuka kutoka wafu, ingawa ni wazi kuwa Wakristo walikuwa na desturi au walianzisha desturi ya kukusanyika jumapili, yaani, ’siku ya kwanza ya juma’. Maneno haya yanadhibitishwa na mistari hii, 'Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kuumega mkate, Paulo akawahutubu...' (Matendo 20:7). 'Siku ya kwanza ya juma kila mtu kwenu na aweke akiba kwake, kwa kadiri ya kufanikiwa kwake; ili kwamba michango isifanyike hapo nitakapokuja...' (1 Wakor.16:2).Hata hivyo, hakuna agizo katika Agano Jipya, kwamba lazima tukusanyike jumapili, lakini tunao mfano wa desturi ya Wakristo wa wakati wa mitume, na desturi hiyo inaendelea mpaka sasa. Desturi hiyo haikuanza tu karne ya tatu baada ya kufa na kufufuka kwa Yesu, bali ilikuwa desturi ya waumini kuanzia mwanzo wa kanisa la Bwana! Katika Agano Jipya hamna mstari hata mmoja usemao wakristo walikusanya siku ya sabato au ilikuwa desturi yao au wala sheria ya wakristo kufanya hivyo! Kwa kweli ni jambo la kushangaza kwa sababu wengine wanadai kuwa tungekusanyika ’jumapili’ - kwa Kiingereza ’Sunday’ - ina maana tunaabudu sanamu, kwa sababu wanasema ’Sunday’ inamaanisha siku ya ’jua’! (sun=jua; day=siku). Warumi waliiita siku hiyo kwa ’kuliheshimu’ jua. Kama tulivyoona, wakristo wa wakati wa mitume walikusanyika jumapili kabla ya jina ’Sunday’ halijatokea! Zaidi ya hayo watu wa mataifa pia waliita majina ya siku kwa kadiri walivyopenda. Lakini ukweli uko wazi kabisa kuwa jambo hili haliwahusu wakristo wala imani yao! Kwa Kiingereza Jumamosi inaitwa ’Saturday’ ambayo inatokana na Warumi ambao waliiita siku hiyo ’Siku ya sayari Zohali’ (dies Saturni) kwa sababu Warumi waliheshimu sayari Zohali. Kwa hiyo, ina maana wasabato wanaabudu sayari Zohali? Je, wasabato wanakosa kwa kuabudu sanamu? Ni jambo la kushangaa kwa sababu watu wanajadiliana mambo yasiyo na maana wala msingi wowote, kwa maneno tu yasiyo na mantiki yoyote.Lengo la somo hili ni kuonyesha hamna sheria katika Agano Jipya ambayo inatufundisha lazima tukusanye jumamosi. Kufanya hivyo ni kosa kubwa na udanganyifu. Lengo la somo hili siyo kutufundisha lazima tukusanyike jumapili. Nilinukulu mistari kuonyesha ilikuwa desturi ya wakristo kusanyika hasa jumapili. Lakini siyo sheria. Mwanzoni wakristo walikusanyika hata kila siku! Matendo ya Mitume 2:46. Ya mwisho, lengo la somo hili ni kuonyesha na kueleza tabia ya wokovu wetu ndani ya Kristo Yesu na vipi fundisho lile la kushika sabato linavyopinga lengo la Mungu kupitia Mwanawe. Ni wazi kumpenda Mungu, kumwamini, kumtii na kumabudu ni jambo la kila siku, kila wakati na kila nafasi - siyo la jumapili tu!           Shimba Theological InstituteDkt. Maxwell Shimba

Artículos relacionados

  • Poetry Is Our Ministry to Touch the Heart
    Anelda Lukesia Ballard / Jean Anelda Scott
    Poetry is Our Ministry to Touch the Heart, was birthed when Anelda L. Ballard became ill. God spoke to her in a dream and said 'pick up a pen and write' by being obedient this book was written through the Holy Spirit. Anelda and her mother Jean A. Scott believes that God’s wants to heal a hurting heart. This book will inspire you and encourage you to never give up hope. Jesu...
    Disponible

    11,12 €

  • I soldati lunghi
    Pierluigi Romeo di Colloredo Mels
    Il 24 maggio 1915 il Regno d’Italia entrò nella Grande Guerra, che si sarebbe dimostrata il momento più alto e tragico della sua storia, a poco più di cinquant’anni dalla sua unificazione.In quella lotta tremenda durata quattro anni, la Brigata Granatieri di Sardegna , con i suoi due valorosi Reggimenti, i più antichi del Regio Esercito scrisse, nel grande quadro della guerra d...
    Disponible

    32,59 €

  • Five Beneath Philly
    Susan Bandy / Tom Richmond
    Allen Williams plans to make something of his life and escape South Philly and the work at Cross Brothers’ Meat Packing Plant. He prepares himself with excellent grades and an upcoming full-ride scholarship to climb out of South Philly forever. Then fate changes his whole world. An only son in a family of six, Allen suddenly finds himself responsible for his mother, grandmother...
    Disponible

    18,28 €

  • Forms
    Sharon Welch
    I am an award-winning artist and my works hang in private residences, community hospitals, businesses, and restaurants across the US and also abroad.  I live in Pierre, South Dakota. Since 2008 I have owned Sharon Welch Gallery and Studio where I paint and teach classes.  My theory is have fun, remove the fear of failure, experiment and let the child inside of you play.Very oft...
  • Ricordi di una ausiliaria
    Andrea Lombardi / Raffaella Duelli
    Le memorie di Raffaella Duelli, Volontaria nel Battaglione Barbarigo della Decima Flottiglia Mas iniziano con la partenza del Barbarigo da Roma, narrando la lunga marcia del reparto verso il nord, sotto il mitragliamento degli aerei Alleati. Quindi, è descritta vividamente l'ultima battaglia del Barbarigo sul Fronte Sud, dal Senio a Comacchio: gli appunti di Raffaella, giov...
    Disponible

    28,08 €

  • Why Didn’t You Ask?
    Panya Dixon
    From an early occurrence in her childhood to a perilous thirteen-year relationship, Panya Dixon too often suffered from various forms of physical, emotional, and sexual abuse. Conflicted between love and the pain her loved ones brought on her, she consistently had to fight for her life and her will to move on. Why Didn’t You Ask? is an expression of Panya’s truth—her trials, pa...
    Disponible

    20,35 €

Otros libros del autor

  • The Psychology of Money
    Maxwell Shimba
    The Psychology of MoneyUnlock the Hidden Forces That Shape Your Financial LifeWhy do smart people make poor money decisions? Why does financial success often feel out of reach, no matter how hard you work? The answer isn’t in your spreadsheet-it’s in your psychology.In The Psychology of Money: Unveiling the Secrets of Financial Behavior, Dr. Maxwell Shimba takes you on a transf...
    Disponible

    17,46 €

  • Police Chaplaincy
    Maxwell Shimba
    Police ChaplaincyBehind the badge, behind the uniform, there exists a deeper, unseen frontline-the human spirit of those sworn to protect and serve. Every shift, officers confront trauma, moral ambiguity, and soul-weariness that no policy manual can address. Who stands with them in these moments? In this groundbreaking work, Dr. Maxwell Shimba unveils the vital, often hidden wo...
    Disponible

    14,84 €

  • Military Chaplaincy
    Maxwell Shimba
    Military ChaplaincyWhat sustains the human spirit when the world descends into chaos? The Role of the Military Chaplain is a profound and gripping exploration of one of the most vital yet often unseen pillars of military strength: the chaplain.Journey from the ancient battlefields where priests interpreted omens for Roman legions to the digital frontlines where chaplains counse...
    Disponible

    15,48 €

  • Healing Foods of the Bible
    Maxwell Shimba
    Healing Foods of the BibleDiscover the Bible’s Timeless Wisdom for Health, Healing, and WholenessIn Divine Nutrition for Body and Soul, Dr. Maxwell Shimba uncovers a profound truth hidden within Scripture: the foods celebrated in the Bible are not just ancient staples-they are God’s original design for physical vitality and spiritual nourishment. This meticulously researched bo...
    Disponible

    18,45 €

  • Breaking Hidden Covenants
    Maxwell Shimba
    Breaking Hidden CovenantsIn *Breaking Hidden Covenants: A Guide to Identifying and Breaking Spiritual Bondages*, Dr. Maxwell Shimba offers a profound exploration of the often-overlooked spiritual realities that hinder believers from walking in full freedom. Many Christians experience persistent cycles of struggle-whether in health, finances, relationships, or purpose-despite th...
    Disponible

    16,59 €

  • Breaking the Chain
    Maxwell Shimba
    Breaking the ChainBreaking the Chain is a revelatory and transformative guide to identifying and dismantling the hidden spiritual strongholds that pass through family lines. Dr. Maxwell Shimba, drawing from over three decades of global ministry experience, unveils the sobering reality of generational curses-unseen patterns of defeat, lack, sickness, and relational failure that ...
    Disponible

    14,93 €