Librería Samer Atenea
Librería Aciertas (Toledo)
Kálamo Books
Librería Perelló (Valencia)
Librería Elías (Asturias)
Donde los libros
Librería Kolima (Madrid)
Librería Proteo (Málaga)
Tunapata ujuzi wa Mungu katika sala ya ndani mwetu wenyewe.Ila, sala halisi huhitaji mafunzo, kwa kuwa, sala halisi, tunayoifanya ndani mwetu wenyewe ni mazungumzo na Mungu.Ni wakati tunapoomba kwa moyo wote, tukijifunza kuomba kwenye kituo cha nguvu ya Kristo wa Mungu na tunasikia kweli maombi yetu, ndipo tunajihisi kubebwa na nguvu iliyopo siku zote. Ikiwa tena tunatimiza maombi yetu maishani mwetu siku zote kwa kuyajaza na yale yaliyomo, ni kusema kwa kutimiza mapenzi ya Mungu, tunakaribia basi kituocha upendo ndani mwetu na tunashika njia ielekeayo kwa Mungu.