Librería Samer Atenea
Librería Aciertas (Toledo)
Kálamo Books
Librería Perelló (Valencia)
Librería Elías (Asturias)
Donde los libros
Librería Kolima (Madrid)
Librería Proteo (Málaga)
Hakuna mtu anayejua maisha ya Kristo anahitaji uanzisho wowote kwa Petro - Petro, aliyejaa matumaini na waraka huu inaelezea tabia yake. Neno ka huhimu ni matumaini (1 Petro 1: 3). Tukio la waraka ni kesi iliyotarajiwa; hivyo kutiwa faraja ilikuwa muhimu. Lakini Uhimizo mkuu ulitoka kubadilika kwa Petro mwenyewe. Katika Injili, Petro alimwona Bwana wake akiwa amebadili sura: na pia tunamwona Petro pia akiwa amebadilika kwa neema isiyo na mipaka ya Mungu.Neno muhimu ni 'kuteseka' ambalo limetajwa mara ishirini na moja katika kitabu hiki kifupi, na katika kila sura mateso ya Kristo yanatajwa. Lakini maono ya Petro yanatuwezesha kutazama zaidi ya majaribu kwa utukufu utakao funuliwa hatimaye (1 Petro 1: 7).