LIBROS DEL AUTOR: peter a kisia

2 resultados para LIBROS DEL AUTOR: peter a kisia

  • Usalama Barabarani
    Peter A. Kisia
    Idadi ya watu wanaokufa kila mwaka nchini Kenya kutokana na ajali za barabarani ni kubwa mno, kiasi kwamba ni lazima kila mtu ahusishwe katika kulitafutia tatizo hili suluhisho. Kitabu hiki kinaangazia mambo fulani yanayohusu usalama barabarani kwa lugha nyepesi. Kinaeleza juu ya njia bora za kutumia barabara kwa watembeaji kwa miguu, abiria, waendeshaji baisikeli na madereva w...
    Disponible

    15,98 €

  • Watoto wa Mitaani
    Peter A. Kisia
    Kuna sababu mbalimbali zinazofanya watoto wa mitaani kujikuta katika hali hiyo. Na ingawa mashirika mbalimbali kwa muda mrefu sasa yametambua kuweko kwa tatizo hili, hakuna jambo la muhimu ambalo limetekelezwa kulitatua. Mwandishi anaangazia machache kuhusu haki za watoto kwa upande wa malezi na elimu. Vilevile anatoa mapendekezo na jinsi ya kuepukana na hali hizo. Watoto ni ra...
    Disponible

    15,95 €