LIBROS DEL AUTOR: nyambura mpesha

18 resultados para LIBROS DEL AUTOR: nyambura mpesha

  • Rangi za Ali
    Nyambura Mpesha
    Ali is a first-grade student. Where he lives, there are many different objects in various colors. Ali loves these colors. Join Ali in this book to discover these objects and their colours.Ali ni mwanafunzi wa Darasa la Kwanza. Mahali anakoishi kuna vitu vya aina nyingi. Vitu hivyo vina rangi mbalimbali. Ali anazipenda rangi hizo. Ungana na Ali katika kitabu hiki. Utajua vitu na...
    Disponible

    17,26 €

  • Zacchaeus Meets Jesus
    Nyambura Mpesha
    Zacchaeus is a short, unhappy man. He lives in a town called Jericho. He is a tax collector and people do not like him. Then one day he meets Jesus and his life is changed forever. What happened next, find out. ...
    Disponible

    16,96 €

  • Nyani Mdogo
    Nyambura Mpesha
    Hii ni hadithi ya nyani mmoja mdogo ambaye aliuliza maswali mengi na kutaka kujua mambo yote ya porini. Wanyama pori ni viumbe wa kiasili, wasiofugwa wanaoishi kwa uhuru porini na wana asili ya nchi unayoishi. ...
    Disponible

    16,49 €

  • A Puppy named Trep
    Nyambura Mpesha
    Mose has one big desire: to have a dog, the animal pet that he loves most. Then one day Daddy surprises him with a present, a puppy. Mose names the puppy Trep. What kind of puppy is Trep going to be? ...
    Disponible

    21,20 €

  • A Mule called Christmas
    Nyambura Mpesha
    Christmas is a playful mule. As we know, everyone loves happiness and he wants happiness too. All along he has been playing with school children. He now wants to play with his fellow animals. Will they accept him? ...
    Disponible

    16,59 €

  • Kuku na Mwewe
    Nyambura Mpesha
    Kuku anakumbana na matatizo kadhaa ambayo yanamfanya kuishi katika hali ya wasiwasi hasa kutokana na vitisho vya Mwewe. Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma. ...
    Disponible

    17,23 €

  • Sindi and Kindi See
    Nyambura Mpesha
    Sindi cannot see brother Kindi. They can only touch and feel one another. What will they see when their eyes open? Read to find out what happens next to Sindi and Kindi. ...
    Disponible

    21,34 €

  • Sungura na bInti Mfalme
    Nyambura Mpesha
    Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini wanashindwa. Mpaka Sungura anapojitokeza na kujua jinsi ya kufanya hivyo. ...
    Disponible

    16,98 €

  • Pili Pilipili
    Nyambura Mpesha
    Pili Pilipili ni paka mdaku. Hataki kuwakamata panya. Hataki kula nyama. Yake ni kula pilipili kali kila siku. Atafanywa nini aache udaku? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma. ...
    Disponible

    16,65 €

  • Kitoweo cha Samaki
    Nyambura Mpesha
    Kijana anaipenda samaki na amemvua ngege mkubwa. Rafiki, Dada na Kaka wote wana maoni yao. Atamfuata nani? ...
    Disponible

    17,07 €

  • Marafiki wa Pela
    Nyambura Mpesha
    Pela anawapenda wanyama. Siku moja mvua kubwa inanyesha na kuangusha mti mkubwa nje ya nyumba yao. Asubuhi Pela anatengeneza nyumba kutokana na matawi na majani ya mti huu na kuwaalika marafiki wake - Ndege, Kuku, Paka na Mbwa. Asichokijua ni kuwa hawa marafiki hawawezi kukaa pamoja, jambo linalomhuzunisha sana. ...
    Disponible

    16,65 €

  • Kamuniak and Ori
    Nyambura Mpesha
    Ori the baby oryx has just been born. His mother has to run away to save herself from Kamuniak the lioness. What will happen to poor Ori in the wild? ...
    Disponible

    18,01 €

  • Hanna na Wanyama
    Nyambura Mpesha
    Hanna anawathamini wanyama. Ana mbwa na paka anaowapenda. Lakini anataka wanyama zaidi. Baba yake atampa ruhusa kuwaweka? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma ...
    Disponible

    16,76 €

  • Sindi Goes Out
    Nyambura Mpesha
    Sindi is curious. She wants to see, touch and understand. What will she find when she steps out of the drey that she shares with her mother and brother Kindi? ...
    Disponible

    16,73 €

  • Sindi Looks Out
    Nyambura Mpesha
    Sindi and Kindi’s eyes have just opened. Sindi is anxious. What is there for her to see? This is a story that will keep the young reader curios wanting to find more. ...
    Disponible

    17,89 €

  • Hare and the Princess
    Nyambura Mpesha
    The Princess wants to be married by a clever, wise person. The test is that he should be able to drink hot boiling water. Many men, young and old, rich and poor, try their luck but cannot drink the boiling water. Then comes Hare. He discovers a trick by which the water can be made cool. The Princess accepts him on account of this cleverness and marries him. This is a traditiona...
    Disponible

    18,14 €

  • Chura na Mjusi
    Nyambura Mpesha
    Chura na rafiki yake wanatayarisha karamu kwa marafiki wao. Lakini tamaa yake Chura yapita kiasi. Anajaribu hila ili aile minofu yote, lakini kitendo hiki kinaishia kumtia kwenye hatari. Nini kitaendela? ...
    Disponible

    14,28 €

  • African Children’s Literature
    Nyambura Mpesha
    This bibliography of African Children’s Literature includes 1759 titles written in English or Kiswahili and published with the African child reader as the target reader. The work is a useful tool for researchers, teachers, parents and librarians. ...
    Disponible

    17,59 €