LIBROS DEL AUTOR: hayati jay kitsao

1 resultados para LIBROS DEL AUTOR: hayati jay kitsao

hayati jay kitsao Eliminar filtro Quitar filtros
  • Kishu Kazi
    Hayati Jay Kitsao
    Hadithi ya kwanza, Kishu kazi, inamhusu mkulima mwenye bidii, ambaye daima kisu kilikuwa hakimtoki kiunoni, na alipoulizwa, siku zote alijibu 'Kishu kazi, kuna siku kindapata kazi.' Hata ikawa amebandikwa jina ’Kishu Kazi’. Lakini siku alipovamiwa na wezi, ndipo walishuhudia kikifanya kazi kishu kazi.Hadithi ya Sungura mjanja, kama jina linavyodokezea, inahusu sungura na jinsi ...
    Disponible

    23,42 €