LIBROS DEL AUTOR: halfani sudy

1 resultados para LIBROS DEL AUTOR: halfani sudy

  • Kirusi Kipya
    Halfani Sudy
    Askari wa kike, Hannan Halfani anagundua siri kubwa ya kupangwa kwa mpango wa kumuua rais Mark Mwazilindi akiwa katika maliwato ya ikulu. Kutoka katika mdomo wa Hannan, anaisafirisha siri hiyo hadi katika sikio la mpelelezi mahiri nchini Tanzania, Daniel Mwaseba. Daniel na Hanna wakishirikiana na mpelelezi wa kujitegemea, Martin Hisia, wanaingia kazini na kuanza kuchunguza kisa...
    Disponible

    79,88 €