LIBROS DEL AUTOR: enock maregesi

2 resultados para LIBROS DEL AUTOR: enock maregesi

  • Kolonia Santita
    Enock Maregesi
    Hii ni riwaya ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya inayozu-ngumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kud-hibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, ’World Drugs Enforcement Commission’ (WODEC); na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko.Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dun...
    Disponible

    31,61 €

  • Kolonia Santita
    Enock Maregesi
    ’Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi’ ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, ’World Drugs Enforcement Commission’ (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-...
    Disponible

    27,94 €