LIBROS DEL AUTOR: e a musiba

2 resultados para LIBROS DEL AUTOR: e a musiba

  • Kufa na Kupona
    A.E. Musiba
    Nyaraka za siri zimeibiwa kutoka osi moja ya wapigania uhuru jijini Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania inaingiwa na hofu kuwa nyaraka hizo zitaishia mikononi mwa adui na kuhatarisha maisha ya watu wengi wasio na hatia.Kutokana na ishara maalumu inasadikiwa kuwa majasusi hao wamekimbilia jijini Nairobi. Mpelelezi nguli, Willy Gamba, anapewa kazi ya kuwatafuta popote walipo, kwa...
    Disponible

    24,80 €

  • Hofu
    E.A. Musiba / E.AMusiba
    Mauaji ya kikatili yanafanyika karibu na mji wa Uitenhage nchini Afrika Kusini siku ya kuwakumbuka wazalendo, waliouawa mjini Sharpeville mwaka 1960. Makaburu wanajawa na hofu kwa mauaji hayo, na wanawatilia shaka kuwa ni njama za kikundi cha watu weusi za kutaka kupindua mfumo wa Serikali yao ya Ubaguzi wa Rangi. Uongozi wa Makaburu wa Afrika Kusini wakiongozwa na Mkurugenzi w...
    Disponible

    24,69 €