LIBROS DEL AUTOR: dotto rangimoto

1 resultados para LIBROS DEL AUTOR: dotto rangimoto

  • Mwanangu Rudi Nyumbani
    Dotto Rangimoto
    Wakizingatia historia ndefu ya uandishi katika lugha ya Kiswahili, majaji wa Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika wameeleza: Mashairi yaliyomo katika diwani hii yametumiliwa lugha iliyojaa taswira na majazanda yanayowakilisha vyema hisia zinazoelezwa katika dhamira mbalimbali. Mshairi amefaulu sana kuzitumia mbinu na miundo kadha wa kadha ili kuyajadili maswa...
    Disponible

    23,37 €