LIBROS DEL AUTOR: ben mtobwa

4 resultados para LIBROS DEL AUTOR: ben mtobwa

  • Pesa Zako Zinanuka
    Ben Mtobwa
    Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, ‘No Money Smells’, kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai “zipo, na zanuka”. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo...
    Disponible

    22,04 €

  • Najisikia Kuua Tena
    Ben R. Mtobwa / Ben RMtobwa
    “...Inspekta, najisikia kuua tena...” inadai sauti katika sim ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa simu ya pili, baada ya ile ya awali ambayo ilifuatwa na kifo cha mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nusu ya wazimu. Anafanya yote awezayo kufanya ili amtie mwuaju huyu mikononi mwa sheria...hapatikani...Ndipo anajitokeza Joram Kiango. Mbinu zake za pe...
    Disponible

    22,24 €

  • Tutarudi na Roho Zetu?
    Ben R. Mtobwa / Ben RMtobwa
    Nchi za mstari wa mbele katika ukombozi kusini mwa Afrika zimetendewa mengi maovu na utawala huu dhalimu... Hata hivyo haikupatikana kutokea tishio zito la kutisha kama hili, ambalo linakaribia kutokea. Tukio la kutatanisha ambalo linawatoa machozi wananchi wa nchi mbalimbali. Wanajitokeza mashujaa kwenda Afrika Kusini, lakini kila aendaye huko hurudi na roho yake.Inspekta Komb...
    Disponible

    21,95 €

  • Salamu Kutoka Kuzimu
    Ben Mtobwa
    Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha … Akikusalimu umekwisha … Hana mdhaha …Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja… “Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,” anasema akichekelea. “Sijawahi kushindwa …” Jasho linawatoka watu mashuhuri:...
    Disponible

    22,14 €