LIBROS DEL AUTOR: ann njenga

1 resultados para LIBROS DEL AUTOR: ann njenga

  • Harusi ya Panya
    Ann Njenga
    Kafiya ni panya mrembo sana na mwenye maringo mengi. Anawavutia jogoo, chura, mbwa, paka na panya jirani. Wanyama hawa wanang’ang’ania kumuoa lakini kwa sababu ya maringo yake Kafiya anawakataa baadhi yao ila tu mmoja. Je, ni nani atakayemuoa Kafiya? Je, ni nani atakayeunganisha ndoa yao? Soma hadithi hii ya Harusi ya Panya unufaike. ...
    Disponible

    18,65 €