LIBROS DEL AUTOR: ali attas

3 resultados para LIBROS DEL AUTOR: ali attas

  • Mualkemia
    Paulo Coelho / Ali Attas
    Ndoto huotwa ili ziandamwe. Maisha yanakusudiwa kuishiwa. Baadhi ya vitabu huandikwa ili visomwe, vipendwe na virithiwe na vizazi.Mualkemia ni kitabu kimojawapo cha vitabu kama hivi.Mualkemia ni hadithi ya ndoto ya mvulana mchungaji wa mifugo kutoka eneo la Andalusia, nchini Uhispania. Mvulana huyu anasa ri katika maeneo mengi yakiwemo masoko ya ajabu ya Afrika Kaskazini na baa...
    Disponible

    32,43 €

  • Twende Safari Ziwani
    Ali Attas
    Mzee Bakari ni mvuvi hodari. Anakumbana na samaki wa ajabu katika Ziwa Viktoria. Mvuvi huyu atamvua samaki huyo wa ajabu? Atamfanya kitoweo? Soma hadithi hii ya Twende Safari Ziwani ili upate uhondo ...
    Disponible

    17,83 €

  • Mbweha Pacha
    Ali Attas
    Ni tabia njema kuomba ruhusa kabla ya kuchukua kitu cha mtu. Mbweha pacha wanaona matunda, matango, katika shamba la mkulima. Mbweha hao wanachukua matunda hayo bila ruhusa ya mkulima. Je, unajua ni nani alifichulia mkulima kuwa mbweha pacha wameiba matunda yake? Je, mkulima alifanyaje mbweha pacha? Soma uburudike hadithi hii ya mbweha pacha na matango matatu. ...
    Disponible

    17,23 €