Historia ya Kiziba na Wafalme Wake

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake

Galasius B. Kamanzi / Galasius BKamanzi

67,55 €
IVA incluido
Disponible
Editorial:
African Books Collective
Año de edición:
2020
Materia
Antropología social y cultural, etnografía
ISBN:
9789987083695
67,55 €
IVA incluido
Disponible

Selecciona una librería:

  • Librería 7artes
  • Donde los libros
  • Librería Elías (Asturias)
  • Librería Kolima (Madrid)
  • Librería Proteo (Málaga)

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903–1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wa simulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambach kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu. Tafsiri hii muhimu itafanya historia ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na Kusini Magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie kwa mara ya kwanza wasomi wengi.

Artículos relacionados

  • Generations and Globalization
    ...
    Consulta disponibilidad

    35,36 €

  • Good, the Bad, and the Beautiful
    Barry Hallen / B. Hallen
    ...
    Consulta disponibilidad

    34,21 €

  • Investigating Prehistoric Hunter-Gatherer Identities
    Edited by H. L. Cobb, F. Coward, L. Grimshaw and S. Price.This volume stems from sessions at the 2004 Theoretical Archaeology Conference at Glasgow University, entitled "Hunter-Gatherers in Early Prehistory" and "Hunting for Meaning: Interpretive Approaches to the Mesolithic". The sessions came about as a response to a continuing lack of appreciation of new developments in theo...
    Disponible

    60,70 €

  • Tea and Tourism
    Lee Jolliffe
    Tea and Tourism: Tourists, Traditions and Transformations outlines the social, political and developmental contexts of using tea cultures for tourism. Case studies of tea tourism destinations and products from around the world are included, for example from the UK; Sri Lanka; India; China; Taiwan; Kenya and Canada. ...
    Disponible

    169,14 €

  • An Archive of Possibilities
    Rachel Marie Niehuus
    In An Archive of Possibilities, anthropologist and surgeon Rachel Marie Niehuus explores possibilities of healing and repair in the eastern Democratic Republic of Congo against a backdrop of 250 years of Black displacement, enslavement, death, and chronic war. Niehuus argues that in a context in which violence characterizes everyday life, Congolese have developed innovative and...
    Disponible

    132,33 €

  • An Archive of Possibilities
    Rachel Marie Niehuus
    In An Archive of Possibilities, anthropologist and surgeon Rachel Marie Niehuus explores possibilities of healing and repair in the eastern Democratic Republic of Congo against a backdrop of 250 years of Black displacement, enslavement, death, and chronic war. Niehuus argues that in a context in which violence characterizes everyday life, Congolese have developed innovative and...
    Disponible

    34,38 €

Otros libros del autor

  • The History of Kiziba and Its Kings
    Galasius B. Kamanzi / Galasius BKamanzi
    The History of Kiziba and Its Kings: A Translation of Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu is a major contribution to the indigenous historical literature of East Africa and Tanzania. Research by King Mutahangarwa (ruled 1903–1916) of Kiziba Kingdom in the early 20th century brought together oral tradition experts from both royal and non-royal clans, with their testimonies recorde...
    Disponible

    67,66 €